78r9yturiofiguhjkfd-300x40
mtikiso-com
JOBS

NAFASI ZA KAZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II

Jobs Opportunities at Ministry of Natural Resources and Tourism

The Ministry of Natural Resources and Tourism of the United Republic of Tanzania is the Ministry responsible for the management of Natural, Cultural and Tourism resources.

Tanzania has a great potential for natural resources, cultural and tourism attractions. In terms of wildlife, the present network of wildlife Protected Areas (PAs) in Tanzania is comprised of 16 National Parks, Ngorongoro Conservation Area, 38 Game Reserves, and 43 Game Controlled Areas.

The wildlife protected area network covers 233,300 Sq. Km (28%) of the total of Tanzania’s land surface area.

POST DETAILS

POSTAFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II – 2 POST
POST CATEGORY(S)TOURISM AND TRAVEL
EMPLOYERMinistry of Natural Resources and Tourism
APPLICATION TIMELINE:2020-05-07 2020-05-21
JOB SUMMARYN/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.    Kutekeleza kazi za ushirikishaji wadau katika uhifadhi;
ii.    Kudhibiti utoaji wa leseni za biashara za nyara na vibali vya kukamata     Wanyama hai;
iii.    Kushiriki katika kusuluhisha migogoro ya matumizi ya Wanyamapori
iv.    Kudhibiti matumizi haramu ya leseni za uwindaji na kuhahakikisha      kufuatwa kwa maadili katika kutumia Wanyamapori;
v.    Kuthibiti matumizi haramu ya Wanyamapori;
vi.    Kufuatilia utekelezaji wa miongozo mbalimbali ya uhifadhi Wanyamapori;
vii.    Kuhakiki viwango vya kukamata Wanyama hai kwa ajili ya biashara na ufugaji;
viii.    Kufanya kazi za kuzuia ujangili;
ix.    Kukusanya taarifa na takwimu za uhifadhi; na
x.    Kutekeleza kazi za uhifadhi katika mapori ya akiba.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE•    Kuajiriwa Wenye Shahada ya Sayansi ya Wanyamapori Kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATIONTGS D

LOGIN TO APPLY

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
WP Twitter Auto Publish Powered By : XYZScripts.com