78r9yturiofiguhjkfd-300x40
mtikiso-com
JOBS

NAFASI ZA KAZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFISA UTALII

Jobs Opportunities at Ministry of Natural Resources and Tourism

The Ministry of Natural Resources and Tourism of United Republic of Tanzania, is the Ministry responsible for management of Natural, Cultural and Tourism resources.

Tanzania has a great potential for natural resources, cultural and tourism attractions. In terms of wildlife, the present network of wildlife Protected Areas (PAs) in Tanzania is comprised of 16 National Parks, Ngorongoro Conservation Area, 38 Game Reserves, and 43 Game Controlled Areas.

The wildlife protected area network covers 233,300 Sq. Km (28%) of the total of Tanzania’s land surface area.

POST DETAILS

POSTAFISA UTALII – 1 POST
POST CATEGORY(S)TOURISM AND TRAVEL
EMPLOYERMinistry of Natural Resources and Tourism
APPLICATION TIMELINE:2020-05-07 2020-05-21
JOB SUMMARYN/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.    Kukusanya taarifa za maeneo mapya yenye vivutio vya utalii kwa kushirikiana na wadau wote;
ii.    Kutoa Leseni za utalii kwa mahoteli na wakala wa utalii;
iii.    Kukusanya na kuweka takwimu za watalii na safari za kitalii;
iv.    Kutafuta na kupanga nafasi za masomo ya utalii ndani na nje ya nchi;
v.    Kujibu malalamiko kutoka kwa watalii;
vi.    Kutoa ushauri wa kitaalam kwa wadau katika uendeshaji wa Biashara ya utalii.
vii.    Kuandaa kaguzi mbalimbali za Wakala wa utalii;
viii.    Kuchambua miradi ya wakala wa utalii na hoteli;
ix.    Kukagua hoteli, loji na migahawa;
x.    Kujibu na kufatilia malalamiko yanayoletwa na watalii;
xi.    Kutoa ushauri wa kiutaalam kwa wakala wa utalii;
xii.    Kukusanya taarifa za maeneo mapya yenye vivutio vya utalii kwa kushirikiana na Washika dau wote;
xiii.    Kukusanya takwimu za watalii kwenye sehemu/vituo nchini vya kuingilia/kutoa wageni;
xiv.    Kutunza kumbukumbu za vitabu/majalada ya Maktaba ya Utalii;
xv.    Kutayarisha taarifa ya kila mwezi ya takwimu za watalii waliongia nchini na mapato yaliyopatikana;
xvi.    Kufanya tafiti ngo “Survey” kwenye Hifadhi za Taifa na maeneo tengefu ili kupata idadi kamili ya Hoteli au Loji zinazotoa huduma kwa watalii;
xvii.    Kufuatilia kwa karibu na kushirikiana na VETA juu ya maendeleo ya vyuo vinavyotoa mafunzo ya utalii nchini;
xviii.    Kuratibu miradi yote inayohusiana na utoaji wa mafunzo ya utalii;
xix.    Kutayarisha ripoti za mwezi, robo mwaka, na za mwaka mzima;
xx.    Kufuatilia kwa karibu maendeleo ya Sekta kwa kufanya ‘‘survey’’;
xxi.    Kuitisha mikutano ya Tourism Facilitation Committee;
xxii.    Kutayarisha ripoti na kusambaza kwa wajumbe na kukufuatilia utekelezaji wa maazimio;
xxiii.    Kupitia miongozo inayohusu “Tourism Facilitation Committee”;
xxiv.    Kuratibu shughuli za kubuni vivutio vya utalii na mienendo mipya ya kuendeleza utalii;
xxv.    Kutayarisha kuhakiki vivutio vya utalii nchini;
xxvi.    Kuitisha mikutano/semina za uhamasishaji kuhusu uendelezaji utalii;
xxvii.    Kushiriki katika kupitia ripoti za tathmini ya athari za kimazingira (EIA) kuhusu miradi ya utalii;
xxviii.    Kushirikiana na Mashirika/taasisi mbalimali za mazingira katika shughuli zihusuzo utalii na mazingira;
xxix.    Kukusanya rasilimali za uendeshaji katika vyanzo vya ndani na nje.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE•    Kuajiriwa wenye Shahada/stashahada ya juu katika mojawapo ya fani za Utalii au Hoteli kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATIONTGS D

LOGIN TO APPLY

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
WP Twitter Auto Publish Powered By : XYZScripts.com