78r9yturiofiguhjkfd-300x40
mtikiso-com
JOBS

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA NEWALA FUNDI SANIFU

FUNDI SANIFU DARAJA LA II – UFUNDI MAGARI – (TECHNICIAN GRADE II – MOTOR VEHICLES MECHANICS) – 1 POST

Newala District is one of the districts of Mtwara Region. At the 2012 census, the population of the district was estimated to be 205,492.

This district is bordered by Masasi District on the west and north, Tandahimba district on the east and north, Ruvuma and Mozambique on the South.

Newala is one of the five districts of the Mtwara Region of Tanzania.

It is bordered to the west by the Masasi District, to the east by the Tandahimba District, to the south by the Ruvuma River and Mozambique, and to the north by the Tandahimbaand Masasi Districts.

POSTFUNDI SANIFU DARAJA LA II – UFUNDI MAGARI – (TECHNICIAN GRADE II – MOTOR VEHICLES MECHANICS) – 1 POST
POST CATEGORY(S)ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYERHalmashauri ya Wilaya ya Newala
APPLICATION TIMELINE:2020-05-07 2020-05-21
JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.    Kufanya ukaguzi  wa ubora wa magari ya serikali na kurekebisha ipasavyo;
ii.    Kufanya kazi za kutengeneza mitambo na magari;
iii.    Kuhakikisha utunzaji wa zana zinazotumika katika karakana za magari na mitambo; na
iv.    Kufanya kazi nyingine kama atakavyolekezwa na kiongozi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCEkuajiriwa wenye mojawapo ya sifa zilizotajwa hapa chini 
(a)  Waliohitimu kidato cha VI na kufuzu mafunzo ya ufundi ya miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali katika moja ya fani za ufundi. 
(b)  Waliohitimu kidato cha IV na kufuzu kozi ya ufundi ya miaka mitatu kutoka vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani za ufundi. 
(c)  Wenye Stashahada ya kawaida katika fani za ufundi kutoka chuo cha ufundi kinachotambuliwa na Serikali. 
REMUNERATIONTGSC

LOGIN TO APPLY

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
WP Twitter Auto Publish Powered By : XYZScripts.com