NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA MPWAPWA FUNDI SANIFU MSAIDIZI (UJENZI)

TANGAZO LA KUITWA KAZINI KWA MADAKTARI
Call for Work - Health Sectors

Jobs Opportunities MPWAPWA District Council

Mpwapwa District is one of the seven districts of the Dodoma Region of Tanzania. It is bordered to the north by Kongwa District (site of the failed British groundnut scheme), to the east by Morogoro Region, to the south by Iringa Region, and to the west by Chamwino District.

Its district capital is the town of Mpwapwa. According to the 2012 Tanzania National Census, the population of the Mpwapwa District was 305,056. According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Mpwapwa District was 254,500.

POST DETAILS

POSTFUNDI SANIFU MSAIDIZI (UJENZI) – 1 POST
POST CATEGORY(S)ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYERHalmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa (Mpwapwa DC)
APPLICATION TIMELINE:2020-05-07 2020-05-21
JOB SUMMARYOK
DUTIES AND RESPONSIBILITIESMAJUKUMU YA KAZI
i.    Kufanya kazi za ujenzi wa kuta za nyumba kupaka rangi na kufunga mabomba;

ii.    Kuchonga vifaa vya nyumba za serikali ikiwa ni pamoja na samani “furniture”;

iii.    Mafundisanifu watapangiwa kazi na Mamlaka zinazohusika katika fani zao kutegegemea cheo, ujuzi,uzoefu na uwezo wao na utendaji mzuri wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCESIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne (IV) katika masomo ya sayansi  na kufuzu mafunzo ya mwaka mmoja ya fani za ufundi (ujenzi) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na serikali
REMUNERATIONTGS A

LOGIN TO APPLY

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*