NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA ILEJE MSAIDIZI WA UVUVI

TANGAZO LA KUITWA KAZINI KWA MADAKTARI
Call for Work - Health Sectors

Jobs Opportunities SONGWE at ILEJE District Council

Ileje District is a district in Songwe Region, Tanzania. It is bordered to the north by Mbeya Urban and Rungwe districts, to the east by Kyela District, to the northwest by Mbozi District and to the south by Zambia and Malawi.

POST DETAILS

POSTMSAIDIZI WA UVUVI – 1 POST
POST CATEGORY(S)FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYERHALMASHAURI YA WILAYA ILEJE
APPLICATION TIMELINE:2020-05-07 2020-05-21
JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi. Kutoa huduma ya ugani kwa wavuvi ikiwa ni pamoja na matumizi sahihi ya zana za uvuvi na ukuzaji viumbe kwenye maji;
ii. kukusanya takwimu na kutunza kumbukumbu za uvuvi na ukuzaji wa viumbe kwenye maji na kutoa taarifa;
iii. kutoa ushauri kwa vikundi vya ulinzi wa rasilimali za uvuvi;
iv. kuhakiki usajili wa vyombo na matumizi ya zana za uvuvi na kutoa taarifa;
v. kukagua leseni za uvuvi;
vi. kusimamia mafunzo kwa vitendo; na
vii.    kufanya kazi nyingine atakazo pangiwa na mkuu wa kitengo zinazohusiana na fani yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wahitimu wa kidato cha iv ambao wamepata mafunzo ya uvuvi ya muda wa miaka miwili na kutunukiwa astashahada kutoka katika chuo cha uvuvi nyegezi au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali.
REMUNERATIONTGS B

Deadline: 21st May, 2020

LOGIN TO APPLY

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*